Monday, 24 March 2008

wanamichezo bora watuzwa


waziri kiongozi wa zenj mh. shamsi vuai nahoda akiwa katika picha na wanamichezo bora waliofanya vyema mwaka jana na kutuzwa na chama cha waandishi wa michezo -taswa - hoteli ya landmark juzi usiku. kulia kwake ama watatu shoto ni naibu waziri wa habari, utamaduni na michezo mh. joel bendera, mwenyekiti wa taswa boniface wambura na mwanamichezo bora wa kike kwa ujumla josephine. shoto kwake ama tatu kulia ni mchezaji bora wa mwaka 2007 mwanaume martin sule akifuatiwa na bingwa wa kick bocking japhet kaseba na mcheza soka kudra omary

No comments: