Monday, 24 March 2008

BERY WHITE YUMO KATIKA CHATI



MAKAMU MWENYEKITI WA UWT ASHA BAKARI AKITOWA TUNZO YA MWANAMUZIKI BORA WA KIZAZI KIPYA BERY WHITE BAADA YA KUIBUKA MSHINDI WA TUNZO HIYO YA TIGO MUSIC AWARD 2008, ILIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA HOTELI YA BWAWANI SALAMA

PIA KWA UPANDE MWENGINE
KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA SANAA ZANZIBAR MOHAMMED BARAMIA AKIMKABIDHI MUAKILISHI WA KIKUNDI BORA CHA KIZAZI KIPYA ZANZIBAR AKHANATO FAMILY.

No comments: