Monday, 24 March 2008
na burundi hiyo
rais wa chama cha soka burundi lydia nsekera ameteuliwa leo kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya cecafa. wengine ni justus mugisha wa uganda na habsdijan saeed wa somalia. mama nsekera ndiye kiongozi wa juu pekee mwanamama katika soka kanda hii ya afrika. kanambia leo baba yake alikuwa kiongozi wa soka kwa muda mrefu huko kwao na yeye ni mpenzi wa soka toka utotoni mwake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment