Monday, 24 March 2008

tigo yakabidhi zawadi


Tigo leo imekabidhi hundi ya shilingi milioni saba kwa Waandaaji wa Tuzo za Wanamuziki Bora wa Zanzibar kwa mwaka 2008. Wa pili Kutoka Kulia anaekabidhi ni Meneja Mtafiti wa Masoko wa Tigo Bw Ally Abdallah Anaekabidhiwa ni Naibu waziri wa Habari, michezo na Utamaduni Mh. Joel Bendera na wanaoshuhudia ni Meneja Masoko wa Zanzibar Media Cooperation Bw Saidi Hamisi (kushoto) na Kulia ni Lulu Mbelwa Afisa Masoko wa Tigo.

No comments: