Monday, 24 March 2008

na huko atlanta


Kama kawaida yao ile timu ya Wabongo waishio Atlantawameendelea kujizolea sifa kem kem kwa kutandaza sokasafi "isiyopimika"!

Timu hiyo inayoshiriki katika ligiya soka ya ndani huko Lawarenceville imewezakujishindia mechi mbili na kupoteza moja tu hivyokuiwezesha kuongoza katika msimamo wa ligi hiyo.

Kwa mechi hizo tatu tu ilizocheza Tanzanite Fc imeweza kuonyesha wazi kuwa watanzania wanavipaji vizurikatika soka.

Uwanja umekuwa ukifurika katika kila gemuambayo timu hiyo imekuwa ikiingiza mguu. Habari zakuaminika zinasema kuwa kuna baadhi ya wachezaji watimu hiyo wameshaanza kunyemelewa na timu kubwa hapaATL.

Kwa habari zaidi za msimamo wa ligi na pichausikose kupitia mtandao wa timu. tanzanitefc.com

No comments: